1 Likowe lalihichili kwa Yeremia boka kwa yahwe landabaya, 2 "Nyao ngaa yahwe, Nnungu wa Israeli, andabaya jiandikie mwabene katika barua makowe yoti niliyo tangaza kwako katika barua. 3 Maana lola, lichoba-hale nga tangazo la yahwe-panipalawabuyanganiya mateka wa bandu bangu Israeli na Yuda. Nenga yahwe, nitibaya hili kwa maana nipala wabuyanganiya kwenye kilambo ambayo nitikuwapeya bau zabe, na baimiliki" 4 Haga ni makowe ambayo yahwe andatangaza kuhusu Israeli na Yuda, 5 "Kwa maana yahwe andabaya nyaa, Tuyowine lilobe la lendema ya hofu na wala siyo ya amani. 6 Ulokiye na ubone kati mnalome andamwogopa mwana mbona nimwonite kila mnalome mwenja akamwite maboko yake kunani ya kibuno chake kama mnwawaa yajifunguwe mwana? kwa namani minyo yabe yoti zigalambuke rangii? 7 Ole! kwa maana lichoba lyoho yabaha ngoloho, isiyofanana na yoyoti. Wabaha wakati wa honi kwa Yakobo, lakini apalahokolewa. 8 Kwa maana yabaha katika lichoba lyoho-ole ngaa tangazo la yahwe wa majeshi kwamba nipalakuitenyororo yinu, kwa hiyo wang'eni bawapangalihi wa pangakachi kaye. 9 Bahi wapalakumwabudu yahwe Nnungu wabe na kumtumikya Daudi mfalme wabe, ambaye nipalakunmpanga mfalme kunani yabe. 10 Kwa hiyo wenga, mpakangakachi wangu Yakobo, kanauyogope-hale nga tangazo la yahwe-na kana ukate tamaa, Israeli. Maana loli nibile papipi kukubuyanganiya boka kuhutalu na lubeleko lwako boka kilambo ha wapangakachi, Yakobo apalabuya ngana na apabaha katika amani; apalaoko lewa na pabahalihi na hofu muno. 11 Kwa maana nibile pamope nawenga-hale ni tangazo la yahwe ili kukulilwa. Kabe nipalalete mwishoo kamili kwa mataifa yoti ambako nitiwapala ganya. Bali nibekalihi mwisho kwako, ingawa ninakuadhibu kwa haki na kwa haki nikulekalihi bila kukuadhibu. 12 Kamaana yahwe andabaya nyaa, lijeraha lyako si la pona; kilonda chako kitienea. 13 Ndopoho mundu wa teta makosaa yako; ndopoho utetezi kwaajili ya kilonda chako ili upone. 14 Wapenzi wako boti bakulibalile bakulolalihi, kwa maana nitikujeruhi kwa lijeraha la adui na nidhimu ya ngwana mkatili kwa sababu ya ulahuu wako wanambone na dhambi yako yaikotikwe balangilwa. 15 Kwa namani, ukema msaada kwaajili ya libanga lyako? Minyaa kwako yaponalihi. Kwasababu ya ulahuu wako wanambone, dhambi yako ziba langwilelihi, nilipanga makowe hagha kwako. 16 Kila mundu yuwalyaha apaliwa, na adui zake boti wabayenda wapangakachi. Kwa maana kila yuwakutekkite nyara hapatekwa, na nipalakuwapanga boti babakuwinda baha mawindo. 17 Kwa maana nipalapiya uponyaji kunani yako; nipalakukuponya majeraha yaje-hale nga tangazo la yahwe nipalanga nyaa kwasababu babukemi benekutaikwa. Ndopoho yuhujalihi Sayuni. 18 Yahwe andabaya nyaa, "Lolaha, nibile papipi kuwabuyanganiya mateka wa hema za Yakobo na baha na huruma kunani ya nyumba zake. Kabe Mnema wapalachenga kuna i ya lundoo la magofu, na jumba labahaa kaye kuti chayabile kawaida. 19 Kabe wimbo wa sifu na lilobe la shangwe yayowanika boka kwabe, kwa maana nipalakuwayongekeya na wala niwapunguziyelihi, nipalakuwaheshimu ili kwamba kunaupange anyonge. 20 Kabe bandu wabaha kati chaibile mwanzo, na likosanyiko labe lipaanzishwa nnonge yangu wakati panipalawaadhibu boti babdawatesa kwa nambeyambe. 21 Koingozi wabe apaboka miongoni mwabe. apalatokya boka kati yabe panipalakumleta papipi na panipalanikalbya nenga. Kati nipangalihi nyoo, ni nyahi yuwapala thubutu kuniegelya? hale nga tangazo la yahwe. 22 Kabe mwabaha bandu bangu, nipalabaha Nnungu winu. 23 Lora, tufani ya yahwe, ghadhabu yake, itiyendapanja. N tufani isiyokoma yatindiya kunani ya mitwehe ya bandu walahuhu. 24 Hasira ya yahwe yabuyanganalihi mpoka iboke na timiza kusudi, la moyo wake. Katika lichoba lamwiyo mwalielewa lehee"