Sura 19

1 Ngwana abahite nyaa, "Yunda ukapeme chupa ya ukando wakati ukeba na wapendo wa bandu na makuhani. 2 Kabe uyende mpaka libende la Ben Hinomu wakati wa jingya kwenye mniyango wahutekwabike wa mfinyanzi na huko utangaza maneno nipalakubakiya. 3 Utibaya, Mupekanje neno la Ngwana, mfalme wa Yuda na mwenyeji wa yerusalemu! Ngwana wa majeshi, Nnungu wa Israeli, abaya nyaa, "Mulinge, na nitalete mundu yuwayowaha yawaka. 4 Mapanga nyaa kwa sababu wanileki na kunichalawa na kudharau mahali hapa. Katika mahali hapa wandapi ya sadaka kwa miungu yenge ambayo bahitangitelihi wabe, tate zao, na wafalme wa Yuda pia watwelio mahali yangali na hatia. 5 Wachengite Baali mahali pa kunani na kuwatniya bana bao kwa muoto kati sadaka za kuteketezwa kwake- kilebe ambacho sijawaamua au kutaja, wala hajingiyalihi ngatihi ya akali yangu. 6 Kwa hiyo lina, machoba yandahicha halehe ngaa litamko la Ngwana ambapo mahali hapa pakemelwalihi kaye Tofethi, libende la Ben Hinomu, kwakuwa labahalibende la machinjo. 7 Katika mahali hapa nitatangua mipango ya Yuda na yerusalemu. Nipawapanga wapate kubulaga kwa upanga nnonge ya adui zabe na kwa luboko wa balo babapala maisha yabe. Ngaa nipalakuwapeya hiyege yabe bahaa chakulya cha kuyuni wa angani na hinyama wa dunia. 8 Ngaa nahipanga minema hawoho panga uharibifu na kilebe cha kuzomewa,kila mundu yuwapeta apashanga la na kuzomea kwa sababu mateso yake yoti. 9 Nawapanga balye nyama ya bana bao na waenja zabe, kila mundu apalya hiyega yake wa jirani yake katika dhiki na katika uchungu amabo utiletwa kwabe na maadui zabe na balo babapalamaisha yabe" 10 Kabe wa tekwana chupa ya ukando nnonge ya bandu ambao batiyenda pamope nawenga. 11 Uwabakiye, Ngwana wa majeshi baya nyaa napanga likowehe halleho kwa bandu baha na mnema hawoho-hayehe ngaa ahadi Ngwana, kati nyaa Yeremia chatekwana chupa ya ukando ili kanaiweche tengenezwa kaye. Bandu wabazika wafu hakwo Tofethi hata pahigalilihi mahali pa pamolyaha. 12 Nyoo ngaa nipalakupapanga mahali hapa nabenyeji bake nitakapopanga minena haye kati Tofethi, hale ngaa litamko la Ngwana. 13 Kwa hiyo nyumba za yerusalemu na wafalme wa Yuda baabaa kati Toethi, nyumba zoti zazibile hunani ya bandu walahuu babahabudu ndondwa zoti za mbinnguni na bwea sadaka za nywaa kwa minungu yenge" 14 Ngaa Yeremia atiboka Tofethi amabko Ngwana amtumite ahubiri atiyema katika ua wa nyuma ya Ngwana, awabakiye bandu boti, 15 Ngwana wa majeshi, Nnungu wa Israeli, abaya nyaa, linga, nawaletea mnema wake woti maafa yoti niyobahite dhidi yake, kwa kuwa bapangite hingo zabe panga ngumu na kana pekaniya maneno yangu"