1 Mwalongo, niya ya moyo wangu na mwani luba kwa Nnongo kwa ajili yabe, kwa ajiwa wokovu wabe. 2 Mana nabakiya panga bai nabidi kwa Nnongi, ila sio kwa ajili ya tanga. 3 Kwa kuwa matangiteli haki ya Nnongo, na bapala haki yabe bene. Babile lili ati ba haki ya Nnongo. 4 Kwa kuwa Kristo ndoti mwa kwaselia kwa ajili ya haki kila mundu jwa amini. 5 Musa aandike yaihusu hiki yai isa buka ku salia: ''Mundu jwapanga haki ya salia alowa tama kwa haki yee.'' 6 Lakini haki yabuka na naimani ilongula nyo, ''Kana ulongule mumwoyo wako, 'Nyai jwa nguluka jenda kunani?' (Ayu kumwuluya Kristo pae). 7 Na kanaubaye, ''Nyajwauluka mu;ebwa?''' (Ayenga, kupeleka Kristo kunani buka mukiwo). 8 Lakini ilogula namani?'' Likowe libi karibu namwenga, mukono na mumwoyo wako.'' Ale likowe lya imani, ngatulitangaza. 9 Manaitei kwa mukane wako unyu ketya Yesu yopanga ni Bwana, na kumwaminya mu mwoyo wako panga Nnongo atikufufua buka mkiwo, walowe okoka. 10 Sababu kwa mwoyo mundu aminiya na pata haki, na kwakano yuketya na pata okoka. 11 Mana liandiko lyendalogula, ''Kila jwaaminiya hapatali oni.'' 12 Mana ntupu tafauti kati ya Myahudi wala Myunani. mana Gwana yoyo yonga Gwana wa bote. 13 Kwa kuwa kila mtu ambaye hulitiia jina la Bwana ataokoka. 14 Kwa kitiwi benda weza kukema jwembe jwa bakotwike kumwaminiya? Na kwakitiwi baweza amini kwa jwembe na bananyowa kwa? Nabalowa yowa buli bila kwa hubiri? 15 Na kwa kitiwi bawuza buhiriwa, bali tumilwa? Kati mwabaandike, ''Jinsi gani mwagangolwike mgagulu gabalo ga batangaza likowe lya mema!'' 16 Ila bote bana yowa kwa injili. Kwa sababu Isaya abaite, '''Bwana, nyaijwa yowine ujumbe wito?'' 17 Kwa hiyo imani icha badayoyowa, na yowa kwa likowe lya Kristo. 18 Lakini nenda longula, ''Je bana yowa kwa?'' Ena, kwa hakika sana.'' Lelobe lyabe lipelike panja munema wete.'' 19 Zaidi ya yoti, Nenda longela, ''Je Israel batangite kwa?'' Na Musa andalongula, ''Nalowa kwa chokosa kwa yuga bwigu kwa bandu bababile taifa lyangutanganikwa.'' 20 Na Isaya ni jasiri sana endalongula, ''Napatikine na balo ba banipalikekwa. Kwa balababani.'' 21 Lakini Israeli koya, ''Masoba goti nayopite maboko lango ba bakatoka yongopa na kwa mundu agumu.''