Sura ya 2

1 Kwa mwei wa Nisani, kwa mwaka wa ishirini wa mfalme artashasta, achawile wembe, na nganitola wembe na kumpea mfalme. lelo ni waileli kokoleka Nnunge yake. 2 Lakini mfalme nganibakia, ''kwa kelee kuminyo yako kubile na huzuni? ubenekanali panga watamwee. Yenoo lanzima ibee huzuni wa moyo '' Boka poo nganiyogopa sana. 3 Nganimakia mfalme, '' Mfalme, ilamee bile mwisho. kwa kelee kuminyo yango keneku pange na huzuni? menaipangite nema, pandupa masiko ga tante bango, gabile katika makachakacha, na milyango yake gaharibike kwa moto'' 4 Bokapo mfalme nganibakia, upala kelee nipangee? kwa nyoo nganinoba N'nungo wa mbinguni. 5 Nganimakia mfalme, ''Mfalme menaumbweni kinanoga, na menaibile abalia wako apangite gananoga paminyo gako uweso kunituma Yuda, nema wa masiko ga tante bango, lengo ni pate kuusenga kabe'' 6 Mfalma ngajibu [na malkia kae abile atami pamopenakwee], Watama kwa muda gani mpaka ubuyee? mfalme ngabona kinanogaa kunipeleka nanenga nganimpaa muda. 7 Nganimakia mfalme, ''Menaibile ya kupulaisa mfalme, unipe barua kwa mwanjaa ya hapendo kwiye ya libende, lenge, lenga bawese kwiyeketea nipete katika kilambo chambe mundela yenda Yuda. 8 Nakabe ibee barua kwa Asafu, nendeli wa mwitu wa mfalme, lenga anipei mkongo wa pangya kilengo ya malango na ngome karibu na hekalu, na kwa kingombe cha kilambo, na kwa nyumba ambaya mbatama, ''kwa nyoo kwa mwanja luboko lunanoga lwa N'nungo lwabile kunani yango, mfalme anieile hitaji lango. 9 Naikite kwa apendo kwiye ya libede, na kupeya barua ya mfalme. Bai mfalme abile apelike maafisa ba jeshi na aomboka farasi pamope nanenga 10 Sanbalati mhoroni na Tobbia mbalia wa Amosi pabayowine likowe lino, batekulipulaikya sana na kwa mwanja mundu ateisa ambaye abile kapaya kwa saidia bandu ba Israeli. 11 Bai nganibuya Yerusalemu, na nabile kwoo masoba gatatu. 12 Nayumwike kiloo, nenga na bangu achenee pamope na nenga. Nimakiye lii mundu yoyote chela N'nungo wango chabei ngati ya moyo wango panga Yerusalemu. Habileli na kinyama pamope na nenga, Ua yaloo ywabile nimwombwike. 13 Nateboka kiloo kwa ndela ya niyango wa mende, nalengite loche lwa N'Gambo na kwene niango wa jaa, na kabwa ingombe ya Yerusalemu ambayo ibomolilwe, na milango ya mbao ialibika na moto. 14 Bokapoo nginiyenda pene lango na chemchemiya mfalme. Nafasi yabile njene sana kwa mnyama ywabile nimwombwike peta. 15 Kwa hiyo nayei kiloo choo mbwega ya libendee no lola kingombe, nganibuya nchogoo no jingia kwa niango wa mende, na nyoo nganibuya. 16 Hatawala batangitelii paniyeni au chelo chanipangite, na nabakiye lii hayahudi, wala hapendo badini, wala hapendo, wala hatawala, wala benge babapangite kazi yoo. 17 Nganabakia, ''mundabona shida yatubile nayo, jinsi Yerusalemu ibile katika makachakacha na milyango yake laribike kwa moto. muise, tusenge upya kingombe cha Yerusalemu, lenga kenetubee na oni kabee. 18 Natekumakia panga luboko lunanoga lwa N'nungo wango wabile kunani yango na kabee kuhusu makowe ga mfalme ambagoo atekuni bakia gababaya, '' Hebu tuboke na senga'' kwa ngoo ngabaimalika moko gabe kwa ajili ya kazi inanogaa. 19 Lakini sanbalati mhoroni, na Tobia mbalia wake mwamoni, na Geshemu, mwarabu, payowine ikowe yoo, ngabatueka na kututukana, ngababaya, ''Upanga kelee? atee, uyomana na mfalme?.. 20 Bokapo nganayangwa, ''N'nungo wa mbinguni alwatupeya Ufanisi. tuwenga ni abalia bake twaboka ba senga. Ila ntopo sehemu, ntopo haki, na ntopo longa la kihistoria kwa Yerusalemu.