1 Ni munu yuluki ayele ni hekima? Ambaye aga manyili matukio gayele ni maaana gani pagati pa maisha? Hekima mugati mwamunu gisababisya kumihu wmawene ughatai, na ugumwa kumihu wamwene wibadilika. 2 Nikushauri kutii amri ya mfalme kwa sababu ya kiapo kya Mungu kya kundenda mwene. 3 Kotoi kuhalakisya kuvuka palungolo pa uwepo wa mwene, na uyimai kunga kivoko jambo ambalo lifwayalepi, kwa kuya mfalem ifwanya kyoha ambacho atamanili. 4 Linehola mfalme litawala, kwa hiyo ni yani ambaye ibeta kujovela, ''Wifwanya kiki? 5 Yuyoha ikamlai amri sa mfalme ikwepa madhara. Muntema wa mwenye hekima itambula mwelekeo uafaka ni muda wakuluta. 6 Kwa kuwa kila jambo liyele nilijibu la kweli, ni wakati wa kujibu, kwa sababu tabu ya munu ni ghikulu. 7 Ayele lepi amanyili ambacho kihida. Ni yani iwesya kujovela kiki kihida? 8 Ayele lepi ni uwezo wa panani pa roho aizuitai roho; wala ayele lepi mamlaka panani pa ligono la kufwa, wala ghiyele lepi kuruhusiwa katika vita fila, wala uovu wibeta lepi kuokola yola asovelili. 9 Mambo aga goha nigawene, nikavika ntema wa nene katika kila kazi ambayo yafwanyiki pasi palijuva, luyele wakati ambapo munu mongo ayele ni mamlaka panani pa njinu kwa hasira sa mwene. 10 Hivyo nivawene wabaya visyelewa pahadharani vavusivu mahali patakatifu ni kusyeliwa mahali ambapo vasifiwi ni vanu katika mji ambapo vayele vakitai matendo maovu iye nayu ghifwayalepi. 11 Wakati kuhumu dhidi ya litendo ghihukumiwa lepi haraka, wishawishi lepi mintema ya vabinadamu kukita mabaya. 12 Hata kama ayele ni dhambi afwanyai ukolofi mara mia moja ni bado itama muda utali, bado niyele ni ufahamu, ghibita vyema kwa vala ambao vakaheshimu Mungu, viheshimu uwepo wa mwene vayele navu. 13 Lakini ghibeta vyema kwa munu mwovu, ndala ibeta lepi kuchelewisiwa, magono gaki kama manofu givuka upesi kwa sababu nka heshimu lepi Mungu. 14 Uyele mvuke vungi wifwaya hee, jambo linge lifwanyika panani pa dunia. Mambo gihuma kwa vanu vayele ni haki kama gihumila kwa vanu vaobu. Nijova ile pia ni lifuki lifwaya lepi. 15 Kwa hiyo ni kapendikisi furaha, kwa sababu munu ayele ni lijambo linofu pasi palijuva zaidi ya kulya ni kunywa ni kuya ni furaha furaha ndo glubeta kufwata katika kazi sa mwene pamagono goha samaisha ga mwene ambayo Mungu apelili pasi palijuva. 16 Nikaveka ntema wa nene kumanya hekima ni kumanya kazi ghifwanyika panani pa nchi, kazi ambayo ghifwanyika mara ghingi pasipo kufumba mihu pakilu au pamusi. 17 Kisha nikalola matendo ga Mungu, ni kwamba munu iwesya kuyelewa kazi ghifwanyika pasi pa lijuva. Bila kumanya munu iketa kukava majibu, ibeta lepi kugakava ingawa mwenye hekima iwesya kuamini, imanya kinu kweli kumbe amanyi lepi.