Sura ya 50

1 Yusufu akahuzunika sana hata akanangukia uso wa baba yake, akamlilia, na kumbusu. 2 Yusufu akawaagiza watumishi wake matabibu kumtia dawa babaye. Kudo matabibu wakampaka dawa Israeli. 3 Wakatimiza siku arobaini, kwani icho ndicho uvekeri muda kamili o kutia dawa. Wamisri wakamlilia kwa siku sabini. 4 Siku sa maombolezo zilipotimia, Yusufu kadeda na watumishi wa baraza la kifalme wa Farao kaamba, ikiwa nimepata kibali mesonyi kwanu, tafadharini dedenyi na Farao, iamba, 5 'Papa okwa nyalengiapia, kuamba, "Lambwa, nganekarikia ipa. Ungirike ko kaburi nililolichimba ko ajili yakwa ngimonyi ko nchi ya Kanaani. Nyiho utakaponizika." Basi luaha ngiruhusunyi ngidambuke ngimrike papa okwa, na kisha ngapeuya." 6 Farao akajibu, "Dambuka na umrike papa wapo kama alivyokuapisha." 7 Yusufu kadambuka indemrika papa wake. Maofisa wa Farao wote vakadambuka anduamu nacho - washauri va numba yake, maofisa waandamizi wote wa nchi ya Misri, 8 Anduamu na numba yose ya Yusufu na vandwavo vose, na numba yose ya papa wake. Kake vana vavo, mamondo vavo na makundi va mburu savo valetijwa ko nchi ya Gosheni. 9 Vibandawazi na wapanda farasi pia valedambuka anduamu nacho. Jivekeri kundi jidui munu ja vandu. 10 Hata anduvalecha ko sakafu ya kupuria ya Atadi upande ungi o Yordani, wakaombuleza ko mojonzi ya huzuni ndue. Yusufu kafanya maombolezo va siku saba ko ajili ya papaye aja. 11 Wenyeji wa nchi, Wakanaani, walipoona maombolezo ko sakafu ya Atadi, vakaamba, "Hiji nyi tu kio je huzunisha munu ko Wamisri." Nkio maana eneo iji jikadikirwa Abeli Mizraimu, lililipo mbele ya Yordni. 12 Kudo wanawe wakamfanyia Yakobo kama alivyokuwa amewaagiza. 13 Wana wake vakamdamada ko nchi ya Kanaani na vakamrika ko ipango ka mdeme o Makpela, kufui na Mamre. Ibrahimu nyavekeri ameura pango anduamu na mdeme ko ajili ya eneo je rikya. Nyavekeri ameura ifuma ko Efroni Mhiti. 14 Baada ya kuwa amemrika papaye, Yusufu kaaya Misri, icho, anduamu na vandwavo sake, na vose vavekeri wamemsindikiza ili imrika papaye. 15 Nduguze Yusufu walipoona kwamba papa wavo amepa, vakaamba, kudakipeva ikiwa Yusufu nyapejiilushia na akataka ejilipa kikamilifu ko ajili ya uvicha jilemuutiya?" 16 Kudo vakamwagiza Yusufu, iamba, "Papa wapo nyale funa maelezo kabla alamepa, kaamba, 17 'Mbienyi kudi Yusufu, "Tafadhari samehe makosa ya vandwanu sapo a dhambi savo uvichwa valekuutiya. Basi wasamehe watumishi wa Makilunga wa papa wapo." Yusufu kafurigha anduvalembia. 18 Vandwavo sake pia vakadambuka ne iramisa shiamu savo mbele sake. Vakaamba, "Lambwa, ise nyi watumishi wako." 19 Kake Yusufu kavajibu, "Mlaongwe, Je inyi nyi badala ya Makilunga? 20 Kake kwanu, mlikusudia kunidhuru, kake Makilunga alikusudia mema, kuhifadhi maisha ya vandu vafoje, kama mwonavyo leo. 21 Kudo luaha mlaongwe. Ngapevahudumia inywe na vana vanu vanina.'' Ko njia hii aliwatia moyo ne idede na mioyo yao kwa upole. 22 Yusufu kadamia Misri, anduamu na familia ya papa wake. Akaishi miaka mia moja na kumi. 23 Yusufu akawaona wana wa Efraimu hata kizazi cha tatu. Pia kavaona wana wa Makiri mwana o Manase, waliowekwa katika magoti ya Yusufu. 24 Yusufu kavavia vandodu sakwa, nganekaribia ipa, "Kake ko hakika Makilunga atawajilia na kuwaongoza ifuma ko nchi hii ni ivadamada ko nchi aliyoapa kumpa Ibrahimu, ko Isaka na ko Yakobo." 25 Kisha Yusufu akawaapisha watu wa Israeli kwa kiapo. Kaamba, "Bila shaka Makilunga atawajia. Wakati huo mtachukuwa mifupa yangu kutoka hapa." 26 Kudo Yusufu kapa, aode miaka 110. Wakampaka dawa na akawekwa katika jeneza huko Misri.