1 Yakobo akaishi katika nchi aliyokaa babaye katika nchi ya Kanaani. 2 Iva nyivo matukio yaliomuhusu Yakobo. Yusufu, alikuwa kijana wa miaka kumi na saba, nyavekeri akeombwa kundi anduamu na mndwavo wake. Nyavekeri anduamu na wana wa Bilha na anduamu na wana wa Zilpa, vaka va papa wake. Yusufu kaende taarifa yao mbaya ko papa wavo. 3 Basi Israeli kamkunda Yusufu kuliko wanawe vose ko kitevi nyavekeri mwana o usuri wake. Kamushonea ivazi jicha. 4 Vandwazo vake vakaona kwamba papa wavo nyalemkunda munu kuliko vandwavo sake vose vakamchikia na valededanacho ndughuchapo. 5 Yusufu akaota ndoto, na kavavia vandwavo savo vakamchuki zaidi. 6 Nyalevavia, "Tafadhari adanyenyi ndoto hii niliyoota. 7 Lambwa, jivekeri jikepunga miganda ya nafaka mdemenyi na lambwenyi, mganda okwa ukainuka ne iimukana wima, na lambwa, miganda yanu ikasogea na kuuinamia mganda wangu" 8 Vandwavo sake vakambia, je nyi loi upejitawala? Je upejitawala uye yedu? Hata vakamchikoa zaidi ko ajili ya ndoto sake na shidedo shake. 9 Kaota ndoto ingi ne ivasimulia vandwavo sake nyaleamba, lambwa, ngameota ndoto ingi: Ruva na mori na nyota kumi na imu ziliniinamia." 10 Kambia papa wake kudo kudo chakundu alevavia vandwavo sake, na papa wake kamkemea. Kambia, Je umeota ndoto ya namna njii ii? Je mama yapo na inyi na vandwani sapo loi jipecha ikuinamia mpaka gwanda?" 11 Vandwavo sake vakamwonea wivu, kake papa wavo kajiona jambo ijo ngoonyi. 12 Vandwavo sake vakadambuka ijiombwa kundi ja papa wavo ipo Shekemu. 13 Israeli kambia Yusufu, 'Je vandwanu sapo vane jiombwa kundi ipo Shekemu? Njio, na inyi nga pekuduma kwavo, Yusufu kambia, ngakeri tayari." 14 Kambia, "Basi dambuka, uvaone vandwanu sapo na kundi vaneendeleaje, na unguendeye neno kudo Yakobo kamduma ifuma ko bonde ja Hebroni, na Yusufu kadambuka Shekemu. 15 Mndu omu, kamwona Yusufu. Lambwa, Yusufu nyavekeri aketengeta kondeni, uja mndu kambesera, nyuneshigha ngikyo?" 16 Yusufu kambia, Nganevashigha vandodu sakwa. Tafadhari, ngivia, vanejiombwa kuku kundi." 17 Uja mndu kaamba, "Walekure andu iha, ko maana ngalevaichu vakeamba, 'Haya jidambuke Dothani." Yusufu kavavadia vandwavo sake ne ivaona ipo Dothani. 18 Vakamwona ifuma kwacha, na kabla hajawakaribia, vakapanga njama ye mwagha. 19 Vandwavo sake vakaviana vavo ko vavo, "Lambwa, mwotaji anakaribia. 20 Njonyi luaha, na jimwaghe, ne imukumba ko mojawapo va marungu iva. Naise jipeamba, mnyama mkali amemurarua. Naise jione ndoto sake sipevakuda." 21 Rubeni kajiichwa ijo ne imwokoa ifuma ko moko vavo. Nyaleamba, "Jilasemberi uhai wakepo." 22 Rubeni alevavia, "Mulabuswe ndakame, mkumbenyi ko irungu ijo jikeri nyikanyi, kake mladere moko vanu uye yake" - ili kwamba nadime imwokoa ko moko vavo ne imuurigha ko papa wake. 23 Ikava Yusufu andualevashikya vandwavo sake, valemburwa vazi jake jicha. 24 Vakamwiria ne imukumba irungunyi, irungu jivekeri tupu bila mringa. 25 Vakadamia gwanda ija mkate. Anduvaleinua meso vavo ne ilambwa, ne, ilambwa, msafara o Waishmaeli nyuvekeri unecha ifuma Gileadi, anduamu na ngamia wavo waliochukua viungo, malhamu na manemane. Vavekeri wakisafiri kuvichukua kuelekea Misri. 26 Yuda kavavia vandwavo sake, "Nyi faida njiki kama jipemwagha mndodu odu ne ishikija ndakame yake? 27 Haya, na jimkumbe ko Waishmaeli na wala jilavikye moko vedu uye yake. Kwani icho nyi mndodu odu, nyama yedu," Mndodu sake vakamwadanya. 28 Wafanyabiashara wa Kimidiani wakapita. Vandodu vake wakamwinua na kumtoa Yusufu shimoni. Wakamwuza Yusufu kwa Waishmaeli wakamchukua Yusufu mpaka Misri. 29 Rubeni kauya kuja irungunyi, ne, lambwa, Yusufu hakuwemo shimoni. Akarandua mavazi yake. 30 Kauya ko vandwavo sake ne iamba, msoro kuku akeri? Na inyi, je ngidambuke kuku?" 31 Vakashinja mburu na kisha vakajiiria vazi ja Yusufu ne ijichovya ko ndakame. 32 Kisha vakajidamada ko papa wavo ne iamba, "Jimeona ii. Tafadhari angalau kwamba nyi vazi ja mwanapo ana gwai." 33 "Yakobo akaitambua ni iamba, "Nyi nguvo sa mwanakwa. Mnyama wa mwitu amemrarua. Bila shaka Yusufu ameraruliwa katika vipande. 34 Yakobo akararua mavazi yake na kuvaa mavazi ya magunia katika viuno vyake. Akaomboleza kwa ajili ya mwanae siku nyingi. 35 Wanawe na binti sake vose vakainuka ne imu fariji, kake nyalelegha ifarijiwa. Kaamba, "Hakika ingapesoka kuzimu nikimwomboleza mwanangu." Babaye akamlilia. 36 Wamidiani wakamwuza huko Misri ko Potifa, afisa o Farao, kepteni wa walinzi.