1 Ukati uwo ekwezaho Yelusalemu, wekuaho hawe na besifage na besania mwemiima ya mizaituni, Yesu akawatuma waidi wawanafunzi wakwe. 2 Nee awamba hitani mwekijiji che hehi naswi, Mala mkengia umu mwenda mbuie mwana npunda nkazati kukwewa. Mfugueni mmueete kwangu. 3 Na kana yoyose akamwamba kwani mwagosoa ivi? Mwakunda kugombeka Bana amkanda na mala enda amvuza aha. 4 Wakaita na kumbuia mwana npunda katashwa chongoi he gwegwe kwemtaa ambao umwazi nao wakamchopoa. 5 Na waritu wekumwe newagooka hada nee wawamba mwagosoa mbwai kumchopoa mwana npunda uyo? 6 Nee wawambia kana Yesu ekuwambia Ivyo, Nawaritu akawaeka waite. 7 Wanafunzi waidi nee wamweta mwana npunda kwa Yesu na nee watandika nguo ili Yesu adahakumkwea. 8 Waritu wangi wakatandika nguo zao baabaani na watuhu wakatandika matambi wekubondayo kuwa mweminda. 9 Wada wakuitao mbele yakwe na wada wekumtongeaao wakatoa vuzo," Hosana? kabatikiwa Yuda mweza kwa zina da Bwana. 10 Ubalikiwa uzumbe wezao wa tate yetu Daudi Hosana kwa mweuanga. 11 Nee Yesu engia Yelusalemu na akaita Yelusalemu ukati nee uita, akaita besania hamwe nao kumi na waidi. 12 Siku yekutongeayo ukati wekuacho wakauya kulawa besania nee anasaa. 13 akaona mti wa mtini wekuao na mani kwa hae akaita kuukewa kana nee kadaha kupata chochose uanga yakwe naukati ecuacho akaita kuuna hekupata chochose iya mani kwakuu nkaukua ukati wa mitini. 14 Nee awamba nkakuna yoyose mwenda ade tunda kukawa kwako vituhu na wanafunzi wakwe wakasikia. 15 Wakaza Yelusalemu, nae nee engia hekaluni na kuvoka kuwaavya chongoi watagajina waguzi mwe hekalu akazibidua meza za wahituao feza na viti vya wada wekuao wakatanga ngiwa. 16 Nkekumluhusu yoyose kwenua chochose hekaluni kidahacho kutagwa. 17 Akawahinya na akawamba je nkayakugondwa nyumba yangu yenda yetangwe ya sala kwa Mataifa yose? Akini mwaitena npanga ya wabavi. 18 Makuhani wakuu nawagonda wasikia ekuayo kayagendeka nee waonda sia ya kumkoma hata ivyo wamuogoha kwa ajii umati wehewa ni malinyo yakwe. 19 Na kia ukati wa guoni wakahaukla mjini. 20 Wekaho wakenda keo wauona uda mtin wa mtini unyaa ukata kwemazindo yakwe. 21 Petuo akakumbuka na kwamba, "Labi kaua, mti wantini wekuulaanio unyaa . 22 Yesu akawatambaisa mtende na Imani mwe Muungu 23 Amini na mwambia kwamba kia awambe mwiima unu, "Hauke nauketambike mwenye bahalini, na kana nkana wengee mwe moyo wakwe akini aamini kwamba ekugombekacho chedi kiaawie ivyuo nee Mungu enda agosoe. 24 Kwa iyo nawamba kia kintu muombezacho na kuuza kwaajii yakwe aminini kwambamwenda mhokee navyo vyeda viwe vyenu. 25 Ukati mkagooka na kuommba mwakundwa kusamehe chochose mwenacho zaidiya yoyose ilikwamba katienu mwembinguni amisamehe pia namwi awasamehe. 26 (Zingatia - Tozeeza mstali unu Akini msekisamehe wala tatienu emwambinguni nkhana asemehe zambi zenu. 27 Weze Yelusalemu vituhu, Ma Yesu ekuaho akazunguuuka mwe hekalu Makuhani wakuu wagonda na wazee wakeza kwake. 28 Wakamwamba kwamamlaka yandai wagaosoa mbui izi?, "Na nndai mwekukweng'a mamlaka ya kusoa aya. 29 Yesu nee awamba nenda nimiuze swali dimwe na mbiani na nmndanimiambie kwa mamlaka yani nagosoa mbui izi. 30 Je, uabatizo wa Yohana waawa mbingun au kwa wanadamu? Mijibuni ". 31 Wakafanyanya gati yao na kuhingana na kwamba, "Kana nkamba ulawa mbingu enda aamini kwani basi nkmkuamini. 32 Akini kama tikamba ulawa kwa mwanadamu. Wawaogoha wantu kwakua wose watozeesa kua Yohana nee nnabii. 33 Nee watambaisa Yesu na kwamba nkatimanya nee Yesu awamba wala mimi nkina nwaambe nkwamamlaka yani na gosoa mbui izo.