1 Iki ni kiroko cha injili ya Yesu Kristu Mwana ya Mungu. 2 Kama yekuandikwayonimabili Isaya, kaua mamtuma mjumbe yangu mbele yako, niee ndiye agosoe sia yako. 3 Sauti ya Mungu mnwetanga nyikani sia zakwe. 4 Yohana keza, akabatiza nyikani na kubiikia zambi. 5 Sii yose ya Yudaea, na wantu wose wa Yerusalem waita kwakwe. Ne wakabatiizwa mwe mto Yolodani. Wakaungama zambi zao. 6 Yohana nee akavaa vazi da mazoya ya ngamia na mkanda wa babu mmre kigudi chakwe; na mee akada sige na hasai ya mzitui. 7 Ne akabilikia na kugombeka, kuma mweza badii yangu ana nguvu kuliko mimi, na hina hazi hata yakwenama si na kutaha sigi za viatu vyakwe. 8 Mimi nkiwabatiza kwa mazi, akini andaawabatiize nywinywi kwa loho Mtakatifu. 9 Ikatenda mwe iyo misi kwa zumbe Yesu keza kuawa Nazareti ya Galilaya, wa Yolodani. 10 Ukati Zumbe Yesu akwemukah kuawamwe mazi, tikaona mbingu zikapanga chazae na loho akaseeea asi kwa mfano wa ngiwe. 11 Na sauti kuawa mbinguni ikagombeka, wee nee mwanangu mkundwa, nekutamwae naye. 12 Akabinda baad ya hada loho akamuo ngumiza kuita nyikani. 13 Kekaa nyikani misi alubaini ukuageezwa ni shetani, Nee yuhamwema wanyama wa mzitui. Na malaika ne wakamhusumia. 14 Baada ya Yohana kugwiwa, Zumbe Yesu akeza Galilaya uku abbiikia injili ya Muungu. 15 Akamba, mda ubua na ufaume wa Munguu uhehe. Sosoani na kuamini mwe injili. 16 Ne akenda nkandankanda ya bahali ya Galilaya akamwona Simoni na Andwea nduguye watambika nyavu zao mwe bahali, me ni wavuvi. 17 Zumbe Yesu akawamba Jooni, nitongeani na ndani watende wavuvi wa wantu. 18 Saa iyo wakabada zia nyavu wakanitongea. 19 Ukodi Zumbe Yesu ekubuaho hae kidogo akamwona yakobo mwana wa Zebedayo na Yahana nduguye ne wa mwe mtumbwi uku wagosoa nyavu zao. 20 Hamka akawetanga, na wowe wakambada tati yao Zebedayo mwe mtumwi, na wandima we kukodishwao. Wakamtongea. 21 Na wekubnaho kapenaumu. mei wa sabato, Zumbe Yesu akengia mwesinagogi na kuwahinya. 22 Wakadunduwaa hinyo dakwe kwa via me akawahinya kama via mntu mwenye mamulamka na mkoyo kama wagondi. 23 Ukati uouo nee kuna muntu mwe sinagogi dao ana npepo, atoa vuzo. 24 Uku agombeka, Tina mbwai cha kugosoa na wewe, Zumbe Yesu wa wazarati, kweza? Kutidagamiza? Tamanye undani, wee ni mtakatifu ukedu wa Mungu. 25 Zumbe Yesu akamkea npeop na kugombeka, Nyamaa na ulawa ndani yakwe. 26 Na loho mchama akamgu sa, akalawa uku akema kwa santi nkuu. 27 Wantu wose wakadunduwaa, wakauzana wenye kwa wenye, Ivi mavyo ni mbwai. Hinyo dihya denye mamlamka ? Hata kuamuru npepo wachama nao wamtii. 28 Na mbui izi kuhusu yeye maa mwenga zikatangaa kia hantu mwe mzi wa Galilaya. 29 Hamka baada ya kulawa mwe sinagogi, wakengia nyumbani mwa simon na, andwea uku wana Yakobo na Yohana. 30 Sasa mkwewe da Simon ya kivyee, nee kagoma ana hom, wakamwamba Zumbe Yesu izi mbui. 31 Ivyo akeza, akamtoza mkono na kumwenua akahona na akawahusamia kama kawaida. 32 Dia guoni ukati Zua dengia kae wakamwetea kwakwe wada wose wekuao watamu au wenye wada wose wekuao watamu au wenye npepo. 33 Mzi wose ekekonga hada he uvi. 34 Akahonya wengi wekuao watamu wa ntamu mbai na kulavya npepo wangi, bila ya kummhusu kutamuiia, maana wammanya. 35 Akenuka kiokio dia keo ukati kuke na kazi, akahauka akaonda he ukedu akaomba. 36 Simon na wose ekuaomao wakamtongea. 37 Wakampata na wakamwamba, kia muntu akuondeza. 38 akawamba, Titeni hatuhu, hae kidogo mwe ida mizi yekuzungukayo, ui Nee viekavyo ncheza aha. 39 Akaita kwembokea Galilaya uku abiikia mwe. masinagogi yao ma kukemua npepo. 40 Mwenye ukoma Yumwe akeza kwakwe akamhembeeza, uku akika mavindi na kumwamba kana wakunda wadaha kunitenda kana wakunda wadaha kumitenda ming'ae. 41 Kamwonea mbazi Zumbe Yesu aka nyoosha mkono na kumdonta, akagombeka, Mataigwa uwe mtanda. 42 Hamka ukoma ukahoma. Ukamuawa nae akang'azwa. 43 Zumbe Yesu akamuonya vikai na kumwamba akanye kuhauka. 44 Akamwamba, Hakikisha nkutamwia mbui izi kwa muntu yoyose akinihita keonyese kwa kuhani na ulavye zabihu kwa ajili ya ushuhuda. 45 Akini akaita ma kuvoka kumwambikia yumwe na kuemeza mbui zaidi hata Yesu mkekudaha vituhu kwengia mwe mizi kwa uhuru, ivyo akekaa hantu he ukedu na wantu wakeza kwakwe kuawakra hantu.