1
Haa sooni hamwe mwe safu za kuhigana, wana wa kivyee wa mapoisi; mapoisi wauzunguka mzi. Kwa nkombati wenda wamchaange mvunizi wa Israeli mwe funda.
2
Mia wenye, Bethelehemu Efrata, hata kana u mdodo miongoni mwe ukoowa, Yuda kuawa kwakoyumwe endaeze kwangu kutawala Israeli, ambaye vokeo dakwe ni kuawa nyakati za kae, tangia milele.
3
Ivyo Muungu endaawenke, hata muda wa mwe usungu wa kuvyaa mwana, na masaso ya waumbuze yendayawauwie wana wa Israeli.
4
Endaagooke na kuisa kundi dakwe kwa nguvu za Yahwe, kwa ukuu wa enzi ya zina da Yahwe Muungu ywake. Wendawasigae kwa kuwa endaawe mashuhuli hata mwisho wa dunia.
5
Enda awe npeho yetu Waashuru wendahoweze mwe sii yetu, wakendaenda dhidi ya boma eletu, tendatenuke uwanga yao waisi npungati na Uongozi mnane uwanga ya wantu .
6
Wenda waise sii ya Ashura kwa uhamba, na sii ya Nimrodi me malango yakwe. Endaatihonye kuawa kwe Waashuru, wendahoweze mwe sii yetu, wendaho we ngie mwe mihaka yetu.
7
Masigazo ya Yakobo yenda yawe kabia za wantu wangi, inga mnyozi uawao kwa Yahwe, inga manyunyu mwe mani, ambayo nkayamgoja muntu, na nkayamngoja wana wa mwanadamu.
8
Masazo ya Yakobo yenda yawe miongoni mwe mataifa, miongoni mwa wantu wangi, inga simba gatigati ya kundi da ngoto. Wakati akemboka gatigati yao, enda awayate na kuwahaabua vipande vipande, na nkakuua kuwa na muntu wa kuwaokoa.
9
Mkono wako wendanulwe dhidi ya wankuu wako na wendalauwabanange.
10
Wendauwawie uwa musi," Yahwe agombeka, "
11
Nindani wabanange farasi wako kuawa miongoni mwenu na nidaniyatuwe magai yako ya farasi. Nndaniibange mizi sii yako, na kuzigwisa gwegwe zako zose.
12
Nndaniubanange usawi mwe mkono wako, na nkunauwe na waganga vituhu.
13
Nnda nivibanange vizuu vyako na npango za nguza za maiwe kuawa miongoni mwako. Nkunauabudu vituhu ufundi wa mikono yako.
14
Nndanizing'oe ngozo zako za Asheia kuawa miongoni mwenu, nndanii banange mizi yenu,
15
Nndaniihize nkuu kwa mbifya na ghadhabu kwe mataifa nkayakwa yanitegeezee."