1 Mungu akamkauwa Nuhu, wanyama wose wa mzitui, na wanyama wose wa kufugwa ambao mwe safina wawa hamwe nae, Mungu akagosoa npeho ivumie uanga ya si, na mazi yakavoka kudidimiasi. 2 Soko za viindi hamwe na madiisha ya mbingu vikavugalwa, na fua ikaheza kunya. 3 Mazi ya galika yakavoka kudidimia kidogo kidogo mwe si, na ikaheza mwe misi miamwenga na hamsini mazi yakawa yadidimiasi. 4 Safina ikatuia mwe mwezi wa mpungate, msi wa kumi na mpungate ya mwezi, uanga ya miima ya Ararati. 5 Mazi yakasongwa unkudidimiasi mpaka mwezi wa kumi. Msi wa bosi wa mwezi, vilele vya miima vikaonekana. 6 Ikalawiia kwamba baada ya misi alubaini Nuhu akavugua diisha da safina ambayo kaigosoa. 7 Akamtuma kunguu na akasooka mpaka mazi yekunyaaho mwe sii. 8 Ikabinda akamtuma njiwa aone kama mazi kulawa mwe cheni hesii yadidimiasi, 9 akini njiwa nkekuona hantu ha kutua wayo wakwe, na akauwiiya umo ndani mwe safina, kwa ajii mazi yawa bado yagubika mwesii yose. Akaunyosha mkono wakwe, akamdoa na kumuika ndani ya safina hamwe nae. 10 Akagoja misi mpungute ntuhu akamtuma vituhu njiwa kulawa mwe safina. 11 Njiwa akagotoka kwakwe waguoni. Kauwa mwe muomo wakwe kuwa na zani wisi da mzaituni dekwahigwado, kwa iyo Nuhu akamanya kuwa mazi yabinda kudidimiasi. 12 Akagoja misi mpungate ntuhu na akamtuma njiwa vituhu. Njiwa nkekuuya kwakwe vituhu. 13 Akawaho kwa mwe mwaka wa mia sita na mwenga, mwe mwezi wa bosi, msi wa bosi wa mwezi, mazi mweiyosi yakanyaa Nuhu akausa ngubiko ya safina, akakaua chongoi, na akaona kauwa cheni cha iyosi kunyaa. 14 Mwe mwezi wa kaidi, misi ya ishiini na mpungate ya mwezi, si ikanyaa. 15 Mungu akamwamba Nuhu, 16 "Ulawe chongoi ya safina, wee, na mkazio, wanao wa kigosi, na wakaza wanao hamwe nawewe. 17 Uwadoe ulawe chongoi hamwe nao kia kiumbe kigima chena mwii ambacho unacho - mdege, wanyama wa kufugwa, na kia kitambaacho ambacho chatambaa uanga ili vidahe kukua na kuwa na idadi nkuu kwemboka viumbe vigima sii yose, kwa kuvyaana na kugenyezeka uanga ya sii." 18 Kwa iyo Nuhu akalawa chongoi hamwe na wanawe wakigosi, mkaziwe, hamwe na wakaza wanawe. 19 Kia kiumbe kigima, kia kitambaacho, na kia mdege, na kia chendacho uanga ya msanga, kwa kabila zao, safina wakaibada. 20 Nuhu akazenga hemviko kwa Yahwe. Wanyama kumwe akawadoa wada watana na wadege kumwe wada watana na kulavya sadaka ya kudagamiza uanga ya hemviko. 21 Yahwe akanusa npungie ntana yekumlizishayo na kugombeka mwe moyo wakwe, "Nkina niilani vituhu iyosi kwa sibabu ya mwanadamu etiho nia za mwe myoyo yao ni mbaya tangia uteke, waa nkina nibanange, kia kintu chenye ugima, kama nekugosoavyo. 22 Ukati si isigaaho, majila ya kuhanda mbeyu na ubosi, npeho na zehuye, kiangazi na majila ya npeho, musi na kio nkavina vihee."