Sura ya 35

1 Mungu akamwamba Yakobo, "Enuka, kwea Betheli, na wekae uko. Unizengee hemviko hada. Nekukulawiaye hada wekumguukaho Esau kakio." 2 Ne Yakobo akamwamba nyumba yakwe yose ne wada ekuawo nao, "Ikani hae miungu yenu yose ya kigeni mwenenayo. Mweika safi na kubadii nguo zenu. 3 Sasa tihauke na kuita Betheli. Uko andanizengee hevimviko kwa Mungu, mwekuniandua kwe msi wa shida yangu nae kawa msi wa shida yangu nae kawa hamwe nami kia niitaho. 4 Wakamwenka Yakobo miungu yao yose ya kigeni wekuayo nayo na vipuli vyekuavyo mwe makutwi yao. Yakobo akavifukia, sii ya mwaloni wekuao hehi na Shekemu. 5 Kwa kadii wekuitavyo Mungu akagosoa mizi yose ye hehi nao kuwaogoha, ivyo wantu nkawekuwatongea wana wa Yakobo. 6 Yakobo akabua Luzu (ne Betheli), umwe sii ya Kanaani, yeye na wantu wose ekuao nao. 7 Akazenga hemviko na kwetanga eneo ido El Betheli, kwa kuwa Mungu keonyesha kwake, ekuwaho akamguuka nduguye. 8 Debora, muezi wa Rebeka, akatendwa mzimu. Akazikwa Betheli sii ya mwaloni, haketangwa Aloni Bakuthi. 9 Yakobo ekwazaho kulawa Padani Aramu, Mungu akamlawia vituhu na kumbaliki. 10 Mungu akamwamba, "Zina dako ni Yakobo, mia zina dako nkadinadiwe Yakobo vituhu. Zina dako donda diwe Israeli. 11 Mungu akamwamba, "Mimi ni Mungu Mwenyezi, Uwe mwenye kuvyaa na kuongezeka. Taifa na wingi wa mataifa yondayakwezee, na wafaume wondawalawe mwe uvyazi wako. 12 Sii ambayo ne nkimwenka Ibrahimu na Isaka, nendanikwenke wewe. Nami nendaniwenke uvyazi wako sii ii." 13 Mungu akakwea kulawa hantu ekutamwiaho naye. 14 Yakobo akaika nguzo hantu ekutamwiaho naye, nguzo ya iwe. Aketia uwanga yakwe kafaa ya kinywaji na aketia mavuta uwanga yakwe. 15 Yakobo akahetanga Betheli sehemu ekutamwiaho naye. 16 Wakaendelea na ntambo yao kulawa Betheli. Kabla ya kubui Efrathi, Raheli akatozwa ni usungu. 17 Akawa na uzungu mzito. Ekuwaho kwe usungu mzito zaidi, muausa akamwamba, usekuogoha kwani ondaupate mwana mtuhu wa kigosi." 18 Ekuaho kaibu ya kutendwa mzimu ida pumzi ya kiheo, akamwetanga zina dakwe Benoni, mia tati yakwe akamwetanga zina dakwe Benjamini. 19 Raheli akatendwa mzimu na kuzikwa he sia iitayo Efrathi (ne Bethlehemu). 20 Yakobo akaika nguzo he kabui dakwe. Ne utangio wa kabui la Raheli hata ivi eo. 21 Israeli akaendelea na ntambo yakwe na kuika nkambi yakwe kuvuka mnara wa walinzi wa ngoto. 22 Yakobo ekuaho ekakaa kwe sii iyo, Rubeni akagona na Bilha suria wa tati yakwe, na Israeli akasikia ido. Basi Yakobo ne ana wana kumi na mbii. 23 Wanawe kwa Lea ne ni Rubeni, mvyaigwa wa bosi wa yakobo, na Simoni, Lawi, Yuda, Isakari, na Zabuloni. 24 Wanawe kwa Raheli ne ni Yusufu na Benjamini. 25 Wanawe kwa Bilha, mjakazi wa Raheli ni Dani na Naftali. 26 Wana wa Zilpa, mjakazi wa Lea, ne ni Gadi na Asheri. Awa wose ne ni wana wa Yakobo wekuvyaigwao kwakwe uko Padani Aramu. 27 Yakobo akeza kwa Isaka tati yakwe uko Mamre kwe Kiriathi Arba (zina sawa na Hebroni), ekuaho akaishi Ibrahimu na Isaka. 28 Isaka akaishi miaka mia mwenga na themanini. 29 Isaka akapumua mpungio ya mwisho akatendwa mzimu akakusanywa hamwe na wahenga wakwe mdaa wa misi mingi. Esau na Yakobo, wanawe wakamzika.