Sura ya 26

1 Basi saa ikaawiya sii, mbai na saa ya bosi yekuawiayo siku za Ibrahimu. Isaka akaita kwa Abimeleki, mfaume wa Wafilisiti uko Gerari. 2 Basi Yahwe akamuawiya na kugombeka, "Usekuseeya kuila Misri; ekaa mwe sii neku kwambiayo. 3 Ekaa mwe sii inu inu nekukwambiayo, nami nonda niwe hamwe nawe na kukubaiki, kwani kwako wee na uvyazi wako, nonda niwenke sii inu yose, nonda nitimize kiapo nekumwapiacho Ibrahimu tati yako. 4 Nonda niuzidishe uvyazi wako kana nyota za mbinguni, nami nonda ni wenke uvyazi wako sii izi zose. Kwembokea uvyazi wako mataifa yose ya dunia yonda yabarikiwe. 5 Nondanidigosowe idi kwa ajii Ibrahimu katii sauti yangu na kutuza mbui ne kumwambiazo zangu, amli zangu na sheiya zangu." 6 Ivyo Isaka akekaa Gerari. 7 Wantu wa hantu hanu wekumuuzao uwanga ya mvyee wakwe, kagombeka, "Yeywe ni dada yangu." Kaogoha kugombeka, "Yeywe ni mvyee wangu, kwa ajii kazani, "Wantu wa sii inu wonda wanikome ili wamdowe Rebeka, kwa ajii ni mtana wa cheni." 8 Baada ya Isaka kuwa kekaa hada kwa mda mlefu, ikatukia kwamba Abimeleki mfaume wa Wafilisti kasungiiya mwe diisha. Kauwa, akamwana Isaka akamhahasa Rebeka, mkazi wee. 9 Abimeleki akamwetanga Isaka kwake na kugombeka, kauwa kwa ukweii yeywe ni mkazio. Kwa mbwai kugombeka, "Yeywe ni dadio?" Isaka akamwamba, "Kwa ajii nkifikii mntu yumwe adaha kunikoma ili amdoe." 10 Abimeleki akamwamba, "Ni mbui yani inu wekutigosoayo? Mntu yumwe ne kadaha kugosooa ukiyanga na mkazio, nawe nekudaha kueta masa uwanga yetu." 11 Ivyo Abimeleki akawakanya wantu wose na kugombeka, "Mntu yeyose mwondaamdonte mntu uyu au mkaziwe ondaakomwe." 12 Isaka kahanda mbeyu mwe sii iyo na kubonda mwaka uo vihimo mia, kwa kuwa Yahwe ambaiki. 13 Mntu uyo akawa taajii, naho akaongezeka zaidi hata akawa mkuu sana. 14 Kawa na ngoto na ng'ombe na ukoo mkuu. Wafilisti wakamwonea kinyuu. 15 Basi visima vyose watandima wa tati yakwe nee wavifuka mwe siku za Ibrahimu tati yakwe, Wafilisti wakaemea kwa kuvimemeza msanga. 16 Abimeleki akamwamba Isaka, "Hauke gati yetu, kwa ajii wee una nguvu kuliko swisi." 17 Ivyo Isaka akahauka hada na kwekaa mwe koongo da Gerari, na kweka aho. 18 Kwa maa ntuhu vituhu Isaka akafuka visima vya mazii, vyekuwavyo vifukwa siku za Ibrahimu tati yakwe. Wafilisti nee wavizuiya baada ya kufa kwakwe Ibrahimu. Isaka akavyetanga visima kwa mazina ekuwayo yaketangwani tati yakwe. 19 Watandima wa Isaka wekufukaho mwe koongo, wakaona kisima cha mazii yekuwayo yakawa mwe soko. 20 Waisi wa Gerari wakagombana na waisi wa Isaka, na kugombeka, "Aya ni mazii yetu." Ivyo Isaka akachetanga kisima icho "Eseki," kwa ajii wagombana naye. 21 Wakafuka kisima kituhu, wakakietea nkondo icho nacho, ivyo ne achetanga "Sitina." 22 Akawa aho na kufuka kisima kituhu, lya icho nkaokukigombania. Ivyo akachetanga Rehobothi, na akagombeka, "Sasa Yahwe kitigosoya nafasi, na tondatifanikiwe mwe sii." 23 Nao Isaka nee aita Beersheba. 24 Yahwe nee amwawiya nakiyo ichoicho na kugombeka, "Mie ni Mungu wa Ibrahimu tati yako. Wesekuogoho, kwa ajii mie ni hamwe nawe na nondanikubaiki na kuongeza uvyazi wako, kwa ajii ya mtumishi wangu Ibrahimu." 25 Isaka nee azenga hemviko hada nee ahetanga zina da Yahwe. Akaika hema dakwe hada, na watandima wakwe wakafuka kisima. 26 Naho Abimeleki akaita kuawa Gerari, hamwe na Ahuzathi, lafiki yakwe, na Fikoli, jemedari wa nkondo. 27 Isaka akawamba, "Kwa jiani mweza kwangu, kwani mnichukia na kuniguusa kwenu. 28 Nao ne wagombeka, "Tiona yakuwa Yahwe yuhamwe nawe. Ivyo tiamua kuwe na kiapo gati yetu, ndio, gati yetu nawe. Ivyo na tigosowe kiapo nawe, 29 Inga nkunautizuu, kana ambavyo swisi nkatinatikuzuu, kana ambavyo swisi tekukutendeavyo vyedi wewe na tikubada uhauke kwa amani kwa kweii, Yahwe akubaiki." 30 Ivyo Isaka akawagosoeya sherehe, na wakada na kunywa. 31 Wakenuka mapema keokeo wakaapia viapo. Kisha Isaka akawaluhusu kuhauka, nao wakambada mwe amani. 32 Siku iyo iyo watandima wakwe wakeza na kumwambia kuhusu kisima wekuacho wakifuka. Wakamba, "Tiona mazii." 33 Akachetanga kiya kisima Shiba, ivyo zina da mzi uda ni Beersheba hata ivyeo. 34 Esau ekuwaho na miaka alobaini, akadoa mvyee, Yudithi binti Beeri Mhiti, na Basemathi binti Eloni Mhiti. 35 Wakamhuzunisha Isaka na Rebeka.