1 Naho wee doa kweyayalika uwanga ya viongozi wa isilaeli. 2 Na wambe mami yako kawa ndai? simba mvye yumbwe keka a na mwana wa simba mgosi gatigati ya simba wadodo, kawaisa wanawe. 3 Kamwenga yumwe ya wada wana watatua wanyama watu na hoo akaehinya namana ya kuwawinda wantu na kuwada. 4 Kiha mataifa wa kusikia kuhusu yeywe akagwiwa mwe mtego wao na waka mweta kwa kulabu mteg wao na waka mweta kwa kulabu sii ya misii. 5 Iya ekuonaho kwamba ne akagonjwa auye ekukundavyo viwe vyenda ivyo ivyo kamdoa mwanawe na watuhu mwe wana na kumwenga akawa mwana simba. 6 Uyu mwana simba kenda uko nauko gatigati ya simba akawa mwana simba na kwehinya kuwinda mawindo akada wantu. 7 Akawagwiya watakufiwa ni wagosi na kubananga mzii. msi na vyekumemavyo vyokwa kwa ajii ya ukemo wa kunguma kwakkwe. 8 Akini mataifa yakeeza uwanga yakwe kuawa mikoa yose wakagosoa nyavu uwanga yakwe akagwiwa kwe mtego wao. 9 Kwa kulubu wakamwika kwe mntundu na baadaye wakamweta hata kwa mfalume wa babeli wakamweta hata kwe ngone imala ili kwamba nkao yakwe isekudaha kusikika uwanga ya mwima wa israeli. 10 Mami yako kawa iga mazabibu wekuhandwao mwe npome yako karibu na mazi uvya matunda na mumema matambi kwa aji ya wa mazii. 11 Uwa na matambi imala yekuwa yekuwayo yakatumiwa kwa aji ya nojoda za ufaume nakihimo chakwe chenuka uwanga ya amatambi na sina dakwe dionekana kwa uku wa mani yakwe. 12 Akini mzabibu ung'olwa kwa hasila na kuaswa asi hata mwe uongo na npeho za mashariki zuibonda na knyaa na oto ukawoka. 13 Ivyo sasa, ukandwa he ugwe kwe sii ya ugwe kavu. 14 Kwa kuwa moto uawa kwe matambi makuku na kutyaooka atunda yakwe nkuna tami imala uwanga yakwe nkuna ngoda ya kufaume uwange yakwe nkuna aya ni kweyayata na wiya inga kweyayata.''