Sura 15

1 Asubuhi sana wakuu wa makuhani bali kutuna pa moya na bazee na baandishe na na baraza nzima ya bazee. kisha bakafunga Yesu, bakamupeleka kwa Pilato; Pilato akamwaliza, uko mufalme wa bayahudi? 2 Akakjibu, unaishasema. 3 Wakuu wa makuhani baka eleza mashitake mengi ju ya Yesu. 5 Pilato akamwuliza tena haokuletajibu: huona na mna banakushitaki na mambo mengi. 4 Lakini Yesu hakumjibia Pilato, na hiyo ilimshngaza . 6 Wakati wa sikkuu, kwa kawaida kumfungulia mfungwa moya , mfungwa balimwomba. 7 Kwa kawaida wakati yasikukuu kumfungulia mfugwa moya , mfungwa bali mwomba katika Gerezani pamoja na wahalifum miogonni wa wauaji na waliosi balitumikia makosa yao. kulikuwa mtu moya na jina Baraba. 8 Umati balikuya kwa Pilato, na kumwomba afanyekama alifanyaka huko nyuma 9 Pilato akawajibu na kusema " munataka ni bafungulie mfalme wa bayhuda ? 10 Juu aliyuwqa ni sababu ya wivu wakuu wa mukuhani balikamata Yesu na kumpeleka kwake. 11 Lakini wakuu wa makuhani walituna umati kupiga kelele kwa sauti ya nguvu umuatshe Barabas . 12 Pilato akajibu tena na kusema nifanye nini na mfalme wa bayahudi? 13 Bakapiga kelele tena akufeku ku msalaba 14 Pilato akasema" anafanya mambo gani mubaya? Lakini baka endeleya kupga kelele zaidi wa zaidi: akufe ko musalaba. 15 Pilato akitaka kufuraisha umati, akabafungulia . Akampiga Yesu fimbo kisha akamuleta baende komuuwa ko musalaba 16 Ma askari wa limuingisha Yesu ndani ya kambi na wali ita kilosi yote. 17 Bakamuvalisa Yesu kanzu ya rangi ya muekunda, na baka soKota taji ya miiba bakamweka. 18 Bakanza kumusalkimia na kusema : salam mfalme wa bayahudi. 19 Bakampiga ko kicho kwa riani na kumtupia mate. Bakapiga magoti mbele yake 20 kisha kumsumbua bakamtosha kile kanzu ya mwekunda na bakamuvalisha nguho yake . Na bakamtoa na kwenda kumuuwa ko msalaba . 21 Bakalazimisha mumpitanjia kumsaidia, alikuwa na ingiya mongini kotoka shamba Anaitwa Simoni mkirene ( baba yake iskanda na rufo): bakamlazimisha kubeba msalaba wa Yesu 22 Askari bakampelaka Yesu fasi inayitwa Goligotha (ilebanaita sehenmu yafuvu la kichwa ). 23 Bakamupa pa mvinyo ile inachanganyika na manemane, lakini hakukunywa. 24 Bakamutiya komsalaba na batagawanya nguhoyake. Bayipigia kura kwa kuyuba kipande atapatakila askari. 25 Ilikwa saa tatu asuuhi balimu tiya ko msalaba. 26 Bakaweka juu yake kumbao, baliandika: " mfalme wa bayahudi" . 27 Balimutiya ko msalaba pa moya na bamwizi wawili. moya upende wake wakulia na ingine kushoto yake . 28 njo voile mandiko ilitimizwa ya kusema walimuwa fasi moja na watenda mabaya. 29 Nao balikuwa banapita balintukana, bakitikisa kichwa yao bakisema " aha!" we ulitaka kouunja kanisa na kuijenga kwasikutatu. 30 Uzi okoe we mwenyewe na ushuke chini kutoka msalaba 31 Kwa namna ile ile wakuu wa makuhani bali mutukana bakisemeza na pamoya na waandishina kusema, aliwaokao wengine lakini hawezi kujiokao mwenyewe. 32 Kristo mfalme wa Israel, shkachinisasa kutoka msalabani, ili tuwezekuona na kwamini na wale balikuwa na kumsalaba pamoyanayepia balimucheka 33 Ali fika saa sita, giza ilikaja juu ya inchi yote hadisaa tisa . 34 Wakati wa saa tisa Yesu alipiga kelele kwa sautikubwa:" Eloi, Eloi lama sabatani" iki wa na maana "mungu wangu, mungu wangu kwa nini unaniacha? 35 Bengine balisimama pale , balisikiya bakasema muone anamwita Eliya 36 Mutukoya akakimbia mbiyo, akabeba sponji na kuiweka juu ya muti wa mwanzi akampatia akunye, mutu moya akasema ngoya toone kama Eliyaa atkuya kumshusha chini. 37 Kisha Yesu akalia kwa sauti kubwa na kukata roho. 38 Nguo ya hekalu ikapasuka kipande mbili kutoka yulu mpaka chini . 39 Ofisa moya alikuya kusimama mbele na Yesu, aliona kama , akasema" kweli huyu mutu alikuwa mutoto wa Mungu. 40 Pale pia bana muke balikuwa na angalia kwa mbali kati yao ilikuwa, Mariamu Magdalena, mariamu mama yake ya Jake na Yakobo moloko yakenayose na Salomé. 41 Wakati ali kuya Galiya balimufata na kumtumikia, na bana muke bengine mengi pia balipanda na ye ko Yerusalemu. 42 Katika busiku ilikuwa siku ya kutegeneza sabato. 43 Yusufu wa Arimathaya alikuya pale. Alikuwa moya katika baraza wa eshima ule alikuwa na ongolea ufalme wa Mungu. akayenda na nguvu yote kwa Pilato na kuomba mwili wa Yesu. 44 Pilato akashangaa kama namna Yesu alikufa akayita yule ofisa aka mwuliza kama Yesu alikufa. 45 Wakati alisikiya na ofisa kama alikufa akamparusa na Yusefu kubeba mwili. 46 Yusefa ananunua nguo ya sanda. Akamutosfa msalabani akamfinika na nguo bakamzika ndani ya kaburi balichimba mulijiwe. Kisha akafunga mulangu ya kaburi na lijiwe. 47 Mariamu Magdalena na Miriamu mama yake na Jose baliona namna Yesu alizikwa.